Nadhani mnakumbuka hapa . Basi leo mfanyakazi mwenzangu naye kumbe alipiga picha . karibu....
Sijui kwa nini napunga mkono hapa. ni mwenyewe Kapulya na Dada AnnSofi
Kapulya/Yasinta
AnnSofi na rafiki yangu mpendwa Marlene
Hapa ni Dada Pernilla na Marlene ..meza nayo ilichafuka kiduchu.
NAWATAKIENI JIONI/SIKU/ASUBUHI AU MCHANA NJEMA/MWEMA
Pendeza mwenyewe Yasinta na marafiki zako. Uwe na siku njema.
ReplyDeleteMhh hongera ndugu wangu, tupo pamoja
ReplyDeleteUsiye na ahsante ssna...siku itakuwa njema na hivi leo nimeanza likizo.
ReplyDeleteEmu -three....ndugu wa mim mbona umeanza na mguno? Ahsante pamoja daima.