Tuesday, July 15, 2014

LEO NINGEPENDA SANA KULA MLO HUU..NDIZI

Nimetamani sana mlo huu...ndizi ila basi tu. Ila si siku nyingi bado nitapika mlo huu na kuula...hasa nikiendaMatetereka nitakula mpaka kushindwa....SIKU NJEMA KWA WOTE!!!

7 comments:

  1. Kwa kweli na mie hicho chakula nimekipenda mnooo! matoke hayo eh! chakula kitamu hichi kwa macho tu mtu unashiba, mie tayai nimeongezea maji ya kunywa tu. Dada Yasinta nawe? Siku njema.

    ReplyDelete
  2. Tena ziwe na naziiii...uwiiii....tamuuuuuuuu

    ReplyDelete
  3. Hii inafaa kwa futari, tupo pamoja

    ReplyDelete
  4. Usiye na jina hapo juu! umenichekesha kweli ya kwamba nikuongezee maji ... siku njema nawe pia.

    Ester...mmhhh yaani hapo nimezidi kutamani tui la nazi:-)

    emu-three ...yaani kweli kabisa futari..Pamoja daima.

    ReplyDelete
  5. Jamani njaa inauma. Taim za futuru hazijafika bado? Da Yasinta nitakuwa mgeni wako leo. By Salumu.

    ReplyDelete
  6. Kaka Salum hakuna shida unakaribishwa kwa mikono sita:-)

    ReplyDelete