Tuesday, July 8, 2014

USAFIRI WA BAISKELI NI MZURI NA WA HARAKA PIA NI MZURI KWA KUTUNZA MAZINGIRA...NAWE WATUMIA BAISKELI KAMA KAPULYA?!!!

 Baiskeli yangu imeharibika na imenilazimu kununua mpya
......na hapa ndiyo baiskeli yangu mpya ambayo ina gia 7 . Kama wote tujuavyo baiskeli ni usafiri wa haraka na bila foleni,.....Bahati mbaya hakukuwa na mtu kupiga picha pamoja nami:-)

8 comments:

  1. Mama Alvin ...hunipiti mimi maana ni mwendo mmoja hakuna kusubiri .

    ReplyDelete
  2. Hongera da Yasinta kwa baiskeli mpya. Mie baiskeli yangu ya miguu minne, ukipata pancha, nitwangie simu nikupe lifti. By Salumu.

    ReplyDelete
  3. Ka Salumu ...kwanza ahsante... nitajaribu kuziba nkishindwa nitakutwangiaga!

    ReplyDelete
  4. Mie huitumia kupunguza nundu ila siwezi kuisafiria. Kama unaishi kijijini au miji midogo inafaa japo kwenye majiji makubwa ni kifo cha kujitakia. Da Yacinta panda mbaiskeli wako ila uwe makini hasa weekends ambapo madereva wengi tunakuwa tumepata kidogo.

    ReplyDelete
  5. Besikeli ni nzuri sana ila tu usalama,hasa nyumbani bongo unawezageuzwa bucha ya nyama wakati wowote. hupenda kuendesha nafamilia yangu, my mkewangu na vidume viwili watoto wetu,ila ugomvi huanza kwa watoto, mdogo wa miaka 5 huwa anataka kushindana kila wakati, nakaka mtu naye miaka8 hataki kushindwa basi nivurugu tupu,ila ni raha sana kuendesha baisikeli sehemu ambayo imetengwa rasmi kwa ajili hiyo. hongera kwa besikeli mpya naiomba hiyo ya zamani nitumie. kaka s

    ReplyDelete
  6. Kaka Mhango....usemsyo ni kweli kabisa. Ni hiyi kuhusu niwe mwangalifu usihofu.....kuna njia maalumu za baiskeli na kupiga mtungi ns kuendesha gari ni marafuku.

    Kaka Sam ....kuendesha baiskeli n a watoto ni rahs sana ila ndo hicho c h a mashindano ndo k kazi...yataka moyo. Ahsante kwa hongera. Kaka Sam Hii ya zamani ni kimeo/mkweche kabisa.

    ReplyDelete
  7. Habari!
    Hongera kwa kutuasa kuhusu mazingira
    Kila la kheri

    ReplyDelete