Sunday, July 27, 2014

TUIMALIZIE WIKI HII NA MREMBO HUYU...MWANAMKE WA SHOKA DADA MKUU MSAIDIZI WANGU

 Kanga zina matumizi mengi na hasa ukimpata anayeweza kutumia kama dada yetu hapa. Binafsi nimependwazwa sana na alivyopendeza
Hapa pia safi sana. Picha kwa idhini ya da´Mija...mwanamke wa shoka. JUMAPILI IWE NJEMA SANA KWA WOTE.

4 comments:

  1. Kaka Ng´wanambiti! ni kweli hii ni safi sana yaani halafu amekuwa kama vile ana miaka 16:-)

    ReplyDelete
  2. Jamani nimesusia blogu jamani..ila nipo! Yasinta asante kwa kunipa nafasi kibarazani mwako... Ubarikiwe sana..

    ReplyDelete