Thursday, July 10, 2014

PALE MNAPOPATA NAFASI YA MARAFIKI/WAFANYAKAZI KUKUTANA NA KUPATA MLO PAMOJA...JANA JUMATANO

 Hapa ni jana tulipata muda wa kukutana na kwenda kupata moja barifdi na chakula kidogo...hapa picha haionyeshi vizuri kulikuwa na jua sana na nilimwomba muhudumu atufotoa kutumia simu...:-)
 Hapa ni chakula nilichokula mimi ni mshikaki wa kondoo na wali wa binzali ...nyanya na majani matatu tu wabahili wa mboga hao....
Na hapa ni chakula alichokula rafiki mmjoa /Elizabeth ni saladi ya kamba yeye hali nyama...ilikuwa tu baadhi ya vyakula  vya wengine sikupiga picha.
KILA LA KHERI

4 comments:

  1. HAYO MAMBO DADA HUO MSHIKAKI SIJUWI WA SAMAKII UMENIPA HAMU SANA ILA KARIBU NYUMBANI NI KWELI INAPENDEZA MARAFIKI MKIKUTANA NA KUPEANA AU KUBADILISHANA MAWAZO UWEKWELI INALETA RAHAAAAAAAAAAA UWE NA SIKU NJEMA NA TULIVU SISIS NI NDUGU PAMOJA DAIMAAA

    ReplyDelete
  2. Kaka ni mshikaki wa kondoo..Yaani ilikuwa siku njema sana nikajikuta kama vile nipo nyumbani/Tanzania.

    ReplyDelete
  3. Ilikuwa nzuri sana na ulipendeza sana, full picture inahitakija ukiwa umesimama, mie hapo sikuoni vizuri shauri ya jua kama ulivyosema. Ila ulipendeza sana, je umesuka rasta hapo au? sioni vizuri. Chakula kilikuwa kitamu kwa kuona na macho tu, siku ingine naomba mwaliko mapema na mie niwepo.

    ReplyDelete