Najivuna sana kuwa mTANZANIA/MWAFRIKA... ebu angalia hapa furaha teleeee HAKUNA KULALA HATA KAMA HUJALA....MMMHH MARA nikaona wanaimba nikaona niweke hapa pia hata kama sielewi nini wanaimba....ebu sikiliza na wewe.:-)
na hapa hakuna ngoma wala nini yaani mpaka raha nimekumbuka mbali sana. Kama nilivyosema hapo juu ni kwamba Wahadzabe wanaishi kaskazini mwa Tanzania karibu na ziwa Eyasi jirani na Serengeti. Kabila hili idadi yao haizidi 1000... Na kati ya 300-400 huishi kwa kutegemea uwindaji.
Wahadzabe wameishaanza kuvaa nguo??Mana nafahamu walikuwa hawavai nguo hao! Ni watu wa asilia kwa kila kitu mpaka wazungu wakati fulani walikuja Tz kuwafanyia utafiti, ila huo utafiti ulikuwa sio mzuri mana ilikuwa kama kuwadhalilisha na kudhalilisha waafrika, na watanzania wote kwa ujumla hivyo watanzania walikataa! Ni hayo tu nimekumbuka kuhusu hao ndugu zetu wahadzabe. Mungu ibariki Tz na watu wake, naipenda sana nchi yangu Tz.
ReplyDeleteutamaduni ni kioo cha jamii
ReplyDelete