Hongera kwa kúvuna na kula mboga ya shambani kwako! Mie njaa mana nimesoma hapo juu mnavyoongea na Mama Alvin, mbona nimetamani sana. Kweli ingekuwa umeenda zako kununua supermarket ingekuwa balaa sana! Si siku moja nipo ICA nikaona ule uyoga wako wa wakati ule ulitoa msituni na kuusafisha na baadae kupika, yani uleule naukumbuka sana, si kilo moja ni Sek. 250.00 (Tshs. 50,000.00)hivi jamani jamani! Haya dada endeleza kilimo kwanza mie nakuja kula. Jioni njema.
DADA HONGERA SANA KUKUZA MBOGA. NAJA KULA
ReplyDeletekwanza ahsante sana na pia karibu sana tena nimeshaonja ila ujapo njoo na unga wa ugali.....
ReplyDeletetena nitakuja na dona nimechanganya kidogo unga wa muhogo
ReplyDeleteMama Alvin wahi basi nakusubiri njaa inauma bwana na hivyo umesema unga wa dona uliochanganywa na wa muhogo ,,,,,,umenifikisha penyewe kabisa
ReplyDeleteHongera kwa kúvuna na kula mboga ya shambani kwako! Mie njaa mana nimesoma hapo juu mnavyoongea na Mama Alvin, mbona nimetamani sana. Kweli ingekuwa umeenda zako kununua supermarket ingekuwa balaa sana! Si siku moja nipo ICA nikaona ule uyoga wako wa wakati ule ulitoa msituni na kuusafisha na baadae kupika, yani uleule naukumbuka sana, si kilo moja ni Sek. 250.00 (Tshs. 50,000.00)hivi jamani jamani! Haya dada endeleza kilimo kwanza mie nakuja kula. Jioni njema.
ReplyDeleteDaima mtoto wa kike hachoki!!
ReplyDelete