Tuesday, June 17, 2014

JIONI YA LEO NA UJUMBE HUU!!!

Kwanini ukubali starehe ya sekunde iharibu maisha yako na kuacha yatima?
JIONI NJEMA SANA KWA WOTE PAMOJA DAIMA.

3 comments:

  1. Da Yasinta, naona unatutolea mafumbo, sasa starehe ya sekunde ni ipi? By Salumu.

    ReplyDelete
  2. Kaka Salumu...hakuna cha mafumbo ni ujumbe tu wa kawaida.

    ReplyDelete