Friday, June 20, 2014

CHAKULA KILICHONIKUZA MPAKA KUWA KAMA NILIVYO LEO....

Nimekitamani kweli chakula hili ..samaki, ugali na bamia..mmmhhh nausikilizia utamu wake.
JIONI NJEMA KWA WOTE

3 comments:

  1. Huu mlo ni mlo wenye ladha na manufaa za kipekee,ujaribu leo na utasema asante sana da Yasinta.

    ReplyDelete
  2. Ngiterewa ukaryi na samaki mae!

    ReplyDelete