PICHA YA WIKI:- SIJUI HAPA WANASUBIRI WATEJA AU....
...labda ni mashindano ya pikipiki..ila huyo mwenye sweta nyekundu sijui vipi na hilo panga?? Watoto bwana wana ubunifu sana..Nimependa sana hii:-) PAMOJA DAIMA!!
rafiki hizi baiskeli wakati tunasoma shule ya msingi kule Mufindi tulikua tunaita "vigereti" ila zile zilikua hazina seat, unafanya kusimamia na mguu mmoja hewani...ukiwa unashuka kwenye mteremko ndio raha yake....nimekumbuka sana maisha ya wakati ule!

ReplyDeleteRafiki...nafurahi kusikia umekumbuka ya kale. Mimi nimetamabi kuwa mdogo tena-:)
ReplyDeletenimeipenda, mashindano yanakaribia kuanza
ReplyDeletePengine tunge ruhusu ubunifu huu uendelee, sasa tungekuwa mwezini.
ReplyDeleteEster! shukrani kama umependa hii na kweli hapo karibi shindano laanza 1, 2, 3.........
ReplyDeleteNdugu yangu Mligo! Umeifanya siku yangu ianze na tabasamu!