Huyo ni Yasinta Ngonyani. Naomba utuwekee angalau maelezo kidogo kuwa ulikuwa wapi? Ni ya mwaka gani? ulikuwa umeolewa au bado? Tafadhali baada ya kutujibu kama ni wewe tujulishe hayo. Imekuwa kama puzzle vile!
Hakika ndugu zangu wote mmpetatia kabisa huyo mdada ni Yasinta/mimi haswa wakati nipo KADALA kama ndugu Yangu Kachiki alivyosema ..Na nachukua nafasi hii na kumjibu msomaji wa kwanza hapo juu: Hapo Matetereka au niseme Wilima huko Madaba na ni mwaka 1992 nilikuwa bado sijaolewa na hii picha nakumbuka alipiga Haule. Nadhani nimejibu maswali ya ndugu yetu hapo juu:-)

ReplyDeleteHuyu ni KADALA,Ndugu wa KACHIKI na KADODA...Binti wa Ngonyani...
ReplyDeleteMuwe na siku njema na wasalimie watu wangu hapo nyumbani..Mingi Love.
Huyu ni dada yetu Yasinta! By Salumu.
ReplyDeletehuyo ni wewe mwenyewe binti kapulya.
ReplyDeleteniko na mdogo wako binti Mapunda hapa anakusalimia sana
Huyo ni mama Erik
ReplyDeleteMwenyewe huyu ni Yasinta, penyewe hapa sijui ni wapi vile? Itakua mfaranyaki kama sio bombambili hahahha!
ReplyDeleteUmekumbuka nyumbani leo rafiki?
Hakika ndugu zangu wote mmpetatia kabisa huyo mdada ni Yasinta/mimi haswa wakati nipo KADALA kama ndugu Yangu Kachiki alivyosema ..Na nachukua nafasi hii na kumjibu msomaji wa kwanza hapo juu: Hapo Matetereka au niseme Wilima huko Madaba na ni mwaka 1992 nilikuwa bado sijaolewa na hii picha nakumbuka alipiga Haule. Nadhani nimejibu maswali ya ndugu yetu hapo juu:-)
ReplyDeleteAsante kutupa majibu. Siku njema.
ReplyDeleteNasema huyo si wewe bali picha ya mdada mmoja anaishi Skandinavia na mzaliwa wa Songea. Kama sikosei huyu mdada mnafanana tu lakini si wewe.
ReplyDeleteMwal. Mhango! Huwezi kujua si unajua duniani wawili wawili..au pacha:-)
ReplyDelete