Friday, May 2, 2014

HAPA NI TANZANIA LAKINI JE?UNAJUA HAPA NI WAP?

NAWATAKIENI WOTE MWISHO MWEMA WA JUMA. UKIPATA MUDA MSALIMIE RAFIKI YAKO MPENDWA AU TU JAMAA. KWANI KUKUMBUKANA NI JAMBO JEMA. IJUMAA YA KWANZA YA MWEZI MEI IWE NJEMA SANA KWA WOTE.......KAPULYA.

2 comments:

  1. Duh. Kama nimeshindwa hv. Kwan ni mkoa gani.?

    ReplyDelete
  2. Habib...Hapo ni mkoa wa Morogoro,,muji kasoro bahari!!!

    ReplyDelete