Wednesday, April 30, 2014

TUMALIZA MWEZI HUU WA NNE NA MOROGORO JAZZ BAND- DAR ES SALAAM...


MWEZI NDO UMEISHA NA KESHO TWAANZA MWEZI MPYA NA NI NI SIKUKUU YA WAFANYAKAZI MEI MOSI...TUPO PAMOJA....

2 comments:

  1. Dah! wimbo huu umenikumbusha mbali sana, kuhusu DAR hasa ilala amamana maghorofani. asante kwa wimbo
    kaka s

    ReplyDelete
  2. Ndio maana wahenga wanasema " Old is Gold". Nimeupenda sana wimbo. Asante dada

    ReplyDelete