Kwa kukumbuka vizuri ebu fungua hapa kuona huyu mdada/kapulya anayopenda mikando tangu enzi hizo za ujana wake:-) http://ruhuwiko.blogspot.se/2013/02/mwanadada-na-mikanda-yakemwanamtindo-wa.htmlKama umeangalia vizuri katika hiyo picha ya juu ...Je? Umegundua kitu gani kinakosekana?
NAWATAKIENI MWANZO MWEMA WA JUMA/JUMATATU
umependeza sana dada....siku njema
ReplyDeleteMama Alvin! Ahsabte nawe uwe na siku njema pia.
ReplyDeleteUmependeza mnoooooooooooooona hongera sana kwa hilo vazi zuri sana.
ReplyDeleteUmependeza mnoooooooooooooona hongera sana kwa hilo vazi zuri sana.
ReplyDeleteUsiye na jina.....ahsanteeee sanaaaa
ReplyDeleteUmependeza sana dada. Usijichafue kwenye bustani. By Salumu.
ReplyDeleteHahaaaa kaka Salum ahsante. .nimeanza ns kichekao kwa vile umesema nisijichafue...sitafanya hivyo nitabadili....ahsante kwa ushauri
ReplyDeleteUmenoga kwelikweli dada wa mimi KADALA,Yaani kama binti wa miaka 16.
ReplyDeleteNini siri ya urembo wako?
Umependeza sana Dada Yasinta.Wiki njema
ReplyDeleteumetokelezea!
ReplyDeleteKachiki...Ahsante.....hakuna siri yoyote ile ndugu wangu....nimecheka...eti binti wa miaka 16....:-D
ReplyDeleteManka!..Ahsante sana. Nawe wiki uwe njema.
Rafiki wa mimi wa hiari! Ahsante sana.