Mwenyezi Mungu awanusuru kwenye majanga ya mafuriko, Inshallah. By Salumu.
hali ni mbaya mnooo....Mungu atunusuru
Ndiyo kaka Salum na mama Alvin. Nina imani maombi yetu yanasikika na tusicho kuomba.
Siku hizi Bongo nao wana mabasi ya shule au Songea hapo? Mbona basi lenyewe yellow kama Canada na Marekani? Nisaidieni jamani?
Ame dada hali ni mbaya mnoo
Yapo mabasi ya shule rangi ya njano hasa katika shule za watu binafsi.
Wow! Natamani na LUHUWIKO YAWEPO. Nimetoka miaka mingi hivyo mambo mengine yananipiga chenga.
Usikonde kaka Mhango...si muda mrefu RUHUWIKO PIA YATAKYWEPO...NA UKIZINGATIA WW NI MWAL..basi itakuwa safi sana.
Mwenyezi Mungu awanusuru kwenye majanga ya mafuriko, Inshallah. By Salumu.
ReplyDeletehali ni mbaya mnooo....Mungu atunusuru
ReplyDeleteNdiyo kaka Salum na mama Alvin. Nina imani maombi yetu yanasikika na tusicho kuomba.
ReplyDeleteSiku hizi Bongo nao wana mabasi ya shule au Songea hapo? Mbona basi lenyewe yellow kama Canada na Marekani? Nisaidieni jamani?
ReplyDeleteAme dada hali ni mbaya mnoo
ReplyDeleteYapo mabasi ya shule rangi ya njano hasa katika shule za watu binafsi.
ReplyDeleteWow! Natamani na LUHUWIKO YAWEPO. Nimetoka miaka mingi hivyo mambo mengine yananipiga chenga.
ReplyDeleteUsikonde kaka Mhango...si muda mrefu RUHUWIKO PIA YATAKYWEPO...NA UKIZINGATIA WW NI MWAL..basi itakuwa safi sana.
ReplyDelete