Hii ni ile BUSTANI yetu, nilikuwa kimyaaaa, nilikuwa natifuatifua. Karibuni tu kutakuwa na zile mbogamboga na viungo. Hivyo vionekanavyo hapo ni vitunguu saumu. Nilipata ushauri kuwa ukipata mwezi wa kumi mapema mwanzoni mwa mwaka au kama baridi imepungua huchipua kwa haraka:-) Nimekwisha atika atika baadhi ya mbegu ndani kwenye makopo kama kawaida:-) ZAIDI MAENDELEO YA BUSTANI YATAKUJA....JIONI NJEMA NDUGU ZANGU!!
Hongera kwa kazi nzuri ya kilimo. Sie tunakuja kula na kusubiria bustani itakavyopendeza. Ila umewahi sana mwaka huu?
ReplyDeleteAhsante sana ndugu yangu..usiye na jina:-D..kuhusu kula yaani karibuni sana ...nimewahi ndiyo mikono inawasha....
ReplyDeleteHongera KADALA..Nitakuja kukusaidia mwaka huu.
ReplyDeleteKACHIKI WW...UNASEMAGA TU:'( Jembe linakusubiri hapa...
ReplyDeleteShaka ondoaaaaa....KADALA..Mwenyewe utashangaaaa!!!!!
ReplyDeleteShaka ondoaaaaa....KADALA..Mwenyewe utashangaaaa!!!!!
ReplyDeleteHaya KACHIKI shaka imeshatoka Nakusubiri:-D
ReplyDeleteulimaji wa namnahii kwangu mimi nashindwa, sisi wakukaya unyamwezini/usukumani hupenda maeneo yaliyo wazi na makubwa,sasa kipengele cha kabstani huwa naona kananitia uvivu,ila wifi yenu na watoto,(mke wangu waubani mamsap roho yangu..) wao hasa ndo kumekucha sasa hivi tayari washa panda mbogamboga.ugomvi unatokea wakisafiri kidogo nakuniacha mimi nyumbani wanakuta mazao yao yako hoi taabani baba hataki kumwagilia maji.anyway hongerakwa kulima,.Rachel mbona wewe hatuoni bustani ya ulanzi? kaka s
ReplyDeleteSawa KADALA...
ReplyDeleteKaka sama huwatendei haki jamani..yaani juhudi ya Wifi na wanangu yoote wewe unawavunja nguvu.
Mimi sikuwa na eneo ndugu yangu na hata sasa ni kadogo sana,Lakini nitajaribu vitu vidogo vidogo...kwani nami naona uvivu nataka SHAMBAAAA niangushe Matuta ya Viazi....Tehetehteh.
Kaka Sam! ? Na Rachel aka KACHIKIA HUO NI UVIVU TU...LOL . Hakafu nakubaliaba na Kachiki huwarendri wema kuaacha kumwagilia...
ReplyDeleteHata mie nimeanza kutifua tifua bustani yangu leo,kila la heri Dada yangu..natamani ningekuwa jirani unipe mbegu za mchicha lol
ReplyDeleteManka! safi sana. Bahati mbaya sana yaani ungekusanya za figiri pia maboga...ila kabla kuondoka ungenisaidia kwanza chama chiwuyayi....
ReplyDelete