JUMATATU YA LEO TWENDE KUWATEMBELEA NDUGU /JIRANI ZETU HUKO MBINGA!!!
Najua Mbinga kuna milima na mabonde mengi sana. Lakini hapa nimejiuliza hawa waliojenga hizi nyumba ama kweli wana moyo kweli...hapa ni MBUJI ROCH ILIYOPO LIULI MBINGA...Basi ufikapo Mbinga usikose kutembelea ..
Hakuna cha roho ngumu hasa ikizingatiwa kuwa angani kuna midude mikubwa yenyewe kuweza kuangamiza dunia kwa sekunde kuliko hayo matumbawe ya Mbuji Rochi. Ni suala la kuamini kuwa binadamu hana control ya majaliwa yake.
Duh hilo jiwe linavutia jinsi lilivyo
ReplyDeleteDuh hilo jiwe linavutia jinsi lilivyo
ReplyDeletejiwe limekaa vizuri sana,hujaona mawe ya singida dada.maana yale yamekaa km yanataka kuporomoka vile miaka nenda rudi
ReplyDeleteHakuna cha roho ngumu hasa ikizingatiwa kuwa angani kuna midude mikubwa yenyewe kuweza kuangamiza dunia kwa sekunde kuliko hayo matumbawe ya Mbuji Rochi. Ni suala la kuamini kuwa binadamu hana control ya majaliwa yake.
ReplyDelete