NIMEPENDA VITU/FANICHA/SAMANI HIVI/HIZI VYA /ZA ASILI VINAVUTIA NA NI IMARA..EBU ANGALIA
Kama kuna mtu anafahamu wapi vinapatikana nitashukuru kupata taarifa. Nilisikia vinapatikana Mfaranyaki/Songea kwetu nimeulizia sijafanikiwa.....PAMOJA DAIMA.JUMATANO NJEMA PIA JIONI NIJEMA.
Hatamimi nimevipenda sana..wazima huko lakini?
ReplyDeleteKachiki wa mimi umepitea mno kama sumni. Sie wazima kabisa sijui huko?
ReplyDelete