Mbuga ya Ruaha :- Mbuga hii ni nzuri na ndogo ambayo haijulikani sana kana SERENGETI au NGORONGORO. Ipo kusini wa Tanzania, kama uonavyo kuna simba, tembo, nyati, twiga na wanyama wengine wengi wa pori ambao wanaipendezesha Mbuga hii kwa ukamilifu mazingira yetu ya Afrika/Tanzani....ALHAMIS IJIYO NA MBUGA MPYA...
Nimefanya kazi hiyo Mbuga mwaka 2008/2009...kuna tembo wakubwa sanaaa.....ni mbuga kubwa...wanyama wazuri...raha sana....asante dada kunikumbusha.....nimetamani kwenda tena
ReplyDeleteNafurahi kama umekumbuka mengi katika Mbuga hii. Ukirudi nitakuwa nakyputia niendapo kunyumba /Songea...
ReplyDelete