Hapa ni mwezi wa nne mpunga huwa unakuwa umekomaa kiasi hiki kwa hiyo walaji ni wengi kama vile ndege...Kwa hiyo kwa kuokoa mpunga ni lazima kila siku kwenda shambani kulinda/kufukuzia ndege..Duh nimefanya kazi hii ...mpaka sasa naota ndoto--Maisha ya zamani kweli ni dhahabu.
Hapa mpunga umeshakauka ni mwezi wa sita na ni wakati wa kuvuna sasa kula ubwabwa/wali...Sijui kati ya hawa nipo wapi?..Mnaniona au?...Kuvuna ni raha zaidi kuliko kulinda ndege:-)KILA LA KHERI NA LOLOTE UFANYALO:-)
Da Yasinta! Mimi nahisi ni wewe mwenye gauni nyekundu. Sasa vipi, ubwabwa teyari? By Salumu.
ReplyDeleteHahaaaa! kaka Salumu eti ni mimi huyu labda:-)...we njo tu ubwabwa tayari kabisa...
ReplyDelete