Saturday, January 25, 2014

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE JUMAMOSI NJEMA KWA KIPANDE HILI:- NASONGA MBELE....


JUMAMOSI NJEMA SANA....NA TUKUMBUKE YA KWAMBA SISI SOTE NI NDUGU NA WATOTO WA BABA MMOJA!!!!!

2 comments:

  1. ujumbe mzuri katika musiki huu. Mdada anaimba vizuri. sijuwi yuko wapi sikuhizi sija sikia kama katoa nyimbo nyingine. mapenzi kweli kiboko.kaka s

    ReplyDelete
  2. kaka Sam...ni kweli bonge la ujumbe, labda mdada anapumzika ila hata mimi namfuatilia sana ---mimi sasa nasonga mbele maisha yangu bila ya wewe...ama kweli kiboko hii

    ReplyDelete