Tuesday, December 24, 2013

SALAMU ZA CHRISTMAS KUTOKA KWA KAPULYA.....

Nawatakieni wote sikukuu hii ya Christmas/Noeli iwe yenye baraka, amani, upendo na furaha. Mwenyezi Mungu na awe pamoja nanyi kwa kila mtakachofanya. CHRISTMAS NJEMA/GOD JUL!!

6 comments:

  1. Umependeza Da yasinta, tunashukuru sana nawe x-mass njema mpendwa!

    ReplyDelete
  2. Ahsante ndugu yangu Nancy...naamini xmas yako na wote waliokuzunguka utakuwa ya kufana.

    ReplyDelete
  3. Asante sana. Nakutakia wewe na familia pia sikukuu njema ya xmas

    ReplyDelete
  4. Happy Christmas and New Year to Yasinta & Family. By Salumu.

    ReplyDelete
  5. Kaka Nicky ! Ahsante sana..bahati mbaya siku yangu imeishia mzigoni...na sasa nipo hoi hae....

    Ahsante kaka Salumu nawe pua nakutakia kila jema kstika kuuanza mwaka 2014.

    ReplyDelete
  6. Jamani naombeni mnaotumia X-MASS, muache, tumieni Christmass kama kawaida kwani unapoweka X maana yake ni HAKUNA KRISMASS, 'umeicancel' tayari au kwa maana nyingine, ni 'antchristmass'.Sasa mnakubaki siku kuu ya kuzaliwa Bwana wetu Yesu kristu iwe ni kinyume chake?. Jamani lakini huo ni mtizamo wangu tu, na wala siyo sheria.

    ReplyDelete