Heri ya sikukuu nawe pia. Shukrani kutukumbusha ulaji wa mwatunda katika sikukuu, mana duh kipindi hiki ni pilau, soda, nyama, kachumbari ila matunda yana uwezekano mkubwa wa kusahaulika. happy boxing day.
HALLO YASINTA NGONYANI, ASANTE SANA KWA BLOG YAKO HII. UNATUKUMBUSHA MAMBO MENGI SANA NA YA MUHIMU SANA KATIKA AFYA ZETU. UDUMU NA MUNGU AKUBARIKI. Matuye
Dada kwanza heri ya krismas na mwaka mpya,halafu tafadhali kwa kuwa kuuliza si ujinga, mimi nashangaa, kwani huko ulaya sasa hivi kama ulivyoonyesha bustani yako ile barafu limetanda kila mahali, sasa hayo matunda na mboga mnavipata vipi au labda vinasafirishwa kutoka maeneo ya joto?
Heri ya sikukuu nawe pia. Shukrani kutukumbusha ulaji wa mwatunda katika sikukuu, mana duh kipindi hiki ni pilau, soda, nyama, kachumbari ila matunda yana uwezekano mkubwa wa kusahaulika. happy boxing day.
ReplyDeleteHALLO YASINTA NGONYANI,
ReplyDeleteASANTE SANA KWA BLOG YAKO HII. UNATUKUMBUSHA MAMBO MENGI SANA NA YA MUHIMU SANA KATIKA AFYA ZETU. UDUMU NA MUNGU AKUBARIKI. Matuye
Usiye na jina ahsante sana sikukuu iliishia kazini mwaka huu. Namshukuru Mungu kwa kila kitu.
ReplyDeleteMatuye, kwanza karibu sana Maisha na Mafanikio . Halafu AHSANTE sana kwa kunipa moyo
Dada kwanza heri ya krismas na mwaka mpya,halafu tafadhali kwa kuwa kuuliza si ujinga, mimi nashangaa, kwani huko ulaya sasa hivi kama ulivyoonyesha bustani yako ile barafu limetanda kila mahali, sasa hayo matunda na mboga mnavipata vipi au labda vinasafirishwa kutoka maeneo ya joto?
ReplyDeleteAsante dada kutukumbusha
ReplyDelete