Sunday, October 20, 2013

JUMAPILI NJEMA ...ZILIPENDWA!!!

Napenda kuwatakieni wote JUMAPILI NJEMA .....na tukumbukane ....LEO NI JUMAPILI/DOMNIKA YA 29 YA MWAKA C....

5 comments:

  1. Asante sana KADALA,Iwe njema kwenu pia...

    ReplyDelete
  2. Tunashukuru, Ubarikiwe nawe pia.

    ReplyDelete
  3. Wikiendi imeisha salama na sasa ni J3.ASANTE SANA KAPULYA!!

    ReplyDelete
  4. Umependeza sana da Yasinta! By Salumu.

    ReplyDelete
  5. Ahsante KACHIKI...ilikuwa njema ingawa nilishinda kazini...

    Nancy ..kwanza karibu sana ndugu yangu maana ulipotea kiduchu. Ahsante ndugu yangu.

    Kaka Ray..Ahsante Namshukuru Mungu kwa yote.

    Kaka Salumu.. Ahsante kwa kuona hilo...

    ReplyDelete