Friday, October 18, 2013

IJUMAA YA LEO NA UJUMBE HUU MWANZO WA MAISHA NI MGUMU LAKINI UVUMULIVU NDIO KINGA!!!


Uvumilivu ni Msingi wa maisha ya kila binadamu..Mwanzo ni mgumu...IJIMAA NJEMA KWA KILA ATAKAYEPITA HAPA.....KAPULYA WENU.

3 comments:

  1. Vumilia Makosa
    Watu wote hufanya makosa, kwa kuwa wote ni wasiokamilika. (Waroma 3:23; 5:12; 1 Yohana 1:8-10) Lakini badala ya kukazia makosa, tii ushauri huu wa Biblia: “Juu ya mambo yote, iweni na upendo wenye juhudi nyingi nyinyi kwa nyinyi, kwa sababu upendo hufunika wingi wa dhambi.” (1 Petro 4:8) Ni heri kusamehe na kusahau makosa madogo-madogo. Hata makosa mazito yanaweza kushughulikiwa hivyo. Andiko la Wakolosai 3:12-14 linasema hivi: “Jivikeni wenyewe shauku nyororo za huruma, fadhili, hali ya akili ya kujishusha chini, upole, na ustahimilivu. Endeleeni kuchukuliana mtu na mwenzake na kusameheana kwa hiari mtu na mwenzake ikiwa yeyote ana sababu ya kulalamika dhidi ya mwingine. Kama vile Yehova alivyowasamehe nyinyi kwa hiari, fanyeni hivyo nyinyi pia. Lakini, zaidi ya mambo haya yote, jivikeni wenyewe upendo, kwa maana huo ni kifungo kikamilifu cha muungano.”
    Tusamehe makosa ya kawaida ya mwenzi wetu wa ndoa mara ngapi? Petro alimwuliza Yesu hivi: “‘Bwana, ni mara ngapi ndugu yangu atafanya dhambi dhidi yangu nami nimsamehe? Mpaka mara saba?’ Yesu akamwambia: ‘Nakuambia, si, Mpaka mara saba, bali, Mpaka mara sabini na saba.’” (Mathayo 18:21, 22) Kwa kuwa Yesu alisema maneno hayo kuwahusu watu wasiokuwa wenzi wa ndoa, msamaha ni muhimu hata zaidi kati ya wenzi wa ndoa.
    Ijapokuwa mpango wa ndoa umeshambuliwa katika miaka ya karibuni, hautakoma kamwe kwa kuwa ni mpango wa Mungu na kila kitu anachoanzisha ni “chema sana.” (Mwanzo 1:31) Mpango wa ndoa hautaondolewa kana kwamba haufai tena. Na ndoa inaweza kufanikishwa, hasa ndoa za wale wanaoziheshimu na kuzitii amri za Mungu. Lakini swali ni: Je, wale watu wawili walioahidi kwamba watapendana na kutunzana, watatimiza ahadi hiyo waliyotoa siku ya arusi? Huenda ukahitaji kupambana sana ili utimize ahadi hiyo. Lakini ukijitahidi sana ndoa yako itakuwa yenye furaha!{www.jw.org/sw}

    ReplyDelete
  2. Nilipotea humu Da yasinta nahisi nimepitwa na mazuri mengi, uvumulivu na kujituma ndio kila kitu dada. Mafanikio utapt badae baada ya kujituma. Uwe na siku njema Da yasinta.

    ReplyDelete
  3. Nilipotea humu Da yasinta nahisi nimepitwa na mazuri mengi, uvumulivu na kujituma ndio kila kitu dada. Mafanikio utapt badae baada ya kujituma. Uwe na siku njema Da yasinta.

    ReplyDelete