NA MSANII MRISHO MPOTO....
AU LABDA TUENDELEEE NA UJUMBE HUU
Tumkomboe mwanamke mimi na wewe tukomboe Taifa, kwani ni yeye mama ni yeye mwanzo Taifa...taifa bora huanzia tumboni mwa mama.....endeleee yaani hapa nipo hoi maana mapigo ya ngoma yanafanana na ngoma ya lizombe......
IUJUMAAA NJEMA KWA WOTE:-)
Mama ni dhahabu isiyoisha thamani!
ReplyDeleteNa Hakuna kama mama...Na wabarikiwe sana...Napenda nyimbo,ushairi na uzalendo wa msanii huyu jinsi anavyotumia maneno yake kueneza ujumbe kwa jamii.
ReplyDelete