Sunday, August 25, 2013

NI DOMINIKA YA 21 YA MWAKA C..WATOTO


Watoto wana hali ya kimbingu. kwani wana kila sababu: unyofu. utulivu. amani, upendo, furaha, mapatano. umoja, ushirikiano. usikivu na unyenyekevu. Ndiyo maana hata Bwana wetu yesu Kristu alisema: "Waacheni wadogo waje kwangu." Hali hii inatakia kwa kila mmoja wetu ili baada ya maisha haya ya sasa tukafurahi pamoja na Mungu katika utatu, milele yote mbinguni.
JUMAPILI NJAMA

2 comments:

  1. Asante kwa ujumbe mzuri kuhusu watoto, ni kweli usemalo, uwe na siku njema

    ReplyDelete
  2. Ester! Ahsante ...nimeona tusiwasahau watoto kwani wao ni viongozi wa kesho..jumapili yangu iliishia kazini:-)

    ReplyDelete