Monday, August 19, 2013

JUMATATU HII TUANZA NA MWANADADA HUYU NA UVAAJI WA MIWANI...MTINDO


Mdada huyu si mpenzi wa mikanda tu ni mpenzi wa kuficha sura yake pia ila si wakati wote ni mara chache. Angalia picha hizi
...Hapa ni Jangwani mwamzoni mwa mwaka huu ilikuwa Raha sana

Hapa ilikuwa 2010 
NAWATAKIENI JUMATATU NJEMA. Hapa ni Silver sands Dar es salaam 2011

8 comments:

  1. Huu ni ubunifu ndani ya ubunifu kutoka kwa watu wenye ubunifu katika ardhi ya wabunifu na ubunifu wao.

    ReplyDelete
  2. Umependeza kwelikweli da Yasinta. Unafaa kuiwakilisha taifa letu kwenye michuano ya ubunifu New York! By Salumu.

    ReplyDelete
  3. Dah umefunika Da yasinta,umependezajee

    ReplyDelete
  4. Yasinta nimependa zaidi picha ya katikati.Umetokea kama mtu anayejiamini na nina amini ndivyo ilivyo.
    Ha det så bra.

    ReplyDelete
  5. Kaka Ray! Ahsante .
    Kaka Salumu ! Umenichekesha kweli:-) ngpja labda nijaribu

    Nancy! Ahsante ndugu yangu.

    Edna! Ahsante ....inawezekana ni kujiamini. Ha det bra du med.

    ReplyDelete
  6. Ahsante Edna! Ni furaha upo nasi tena na nakutakia mapumziko mema.

    ReplyDelete