UTAMADUNI:- LEO TWENDE MPAKA DODOMA NA MZIKI HUU WA ASILI NA HUKWE ZAWOSE NA KIJANA WAKE MSAFIRI ZAWOSE..EBU WASIKILIZE JINSI SAUTI ZAO ZINAVYOFANANA...
NA HAPA NI MSAFIRI ZAWOSE...AKIIMBA MSIMAMO AFRIKA
TUSISAHA UTAMADUNI WETU MAANA HII NDIYO ASILI YETU.....NAWATAKIENI IJUMAA NJEMA NA MWISHO WA JUMA UWE MWEMA.
Umenirudisha nyumbani kabisa....asante.
ReplyDeleteKaka Baraka au mwanangu Baraka ahsante!
ReplyDeleteHakika jasiri haachi asili na muacha asili ni hasidi na hana..............................!!@Baraka!!!
ReplyDeleteKaka Ray. .. :-D
ReplyDelete