NIMEJITAHIDI KUIWEKA MAISHA NA MAFANIKIO KAMA MWANZO...
Ama kweli sijui ni nini kimetokea nimeanza kuwiweka tena kama zamani ila sijui kama itakuwa tena kama mwanzo...nasikitika kwa kilichotokea. Pamoja Daima!!!
Halafu mnajua ilikuwa kama kufoka nyumbani na kukuta mlango mpya. Naona ninyi ndugu zangu mnakumbuka zaidi mwonekano wake nimejaribu iwe kama mwanzo ila nitaweza tu Ahsanteni sana kwa kuwa nami.
Haya nafuu leo na pink imerudi pembeni.
ReplyDeletePole dada Yasinta! Nimefungua imetoka pinki tuu. By Salumu.
ReplyDeleteHalafu mnajua ilikuwa kama kufoka nyumbani na kukuta mlango mpya. Naona ninyi ndugu zangu mnakumbuka zaidi mwonekano wake nimejaribu iwe kama mwanzo ila nitaweza tu
ReplyDeleteAhsanteni sana kwa kuwa nami.