Monday, June 10, 2013

JUMATATU YA LEO:-KAMA WOTE TUJUAVYO TANZANIA INA MAKABILA 129 NA KILA KABILA INA LUGHA YAKE NAMI LEO NIMEFANYA UTAFITI/MBINU YA NENO AHSANTE SANA...

NENO AHSANTE SANA...TUANZA NA LUGHA YANGU,,,,
Kingoni -  Ahsante sana .......Usengwili sana
Kibena
Kihehe
Kipangwa wao husema ---- Udalike/Tuhongise
Kiha -----------Ulakoze
Kisukuma/ Kinyamwezi------Wabeja kulumba
Kichagga---------Aika mnu
Kinyakyusa------------------------Ndaga fijo
Kinyiramba------------------------Songela
Kifipa-------------------------------Sante kalesa
Kinyambo--------------------------Wakora muno
Kigogo------------------------------Sante muno muno
Msaada zaidi kama kuna anayejua/fahamu lugha nyingine nitashukuru sana..sana...Karibuni....


14 comments:

  1. Replies
    1. Havome tehena hena havache emu three

      Delete
  2. Duh... hapo tinekwama aisee... ngoja nimpigie simu bibi, nitarudi niwaambie kwa Kimakua tunasemaje....(aibu!)

    ReplyDelete
  3. kimasaii ashe naleng

    ReplyDelete
  4. Mh!kiha?haaa!haaa!ulakoze chane i.e, asante sana!

    ReplyDelete
  5. Kiarabu: Shukran jazeelah. By Salumu

    ReplyDelete
  6. Kikikuyu ni wega muno
    Kinyasa Zikomo kwa mbiri
    Kisambaa Ongea
    Kizulu ngiyabonga, siyabonga
    Kibemba Zambia Natolela sana
    Kireno Obrigado
    Kila la heri.

    ReplyDelete
  7. Ndugu zanguni ahsanteni sana kwa mcango wenu mmenisaidia sana...na naomba endekeeni nimesahau kimatengo ahsante wanasemaje

    ReplyDelete
  8. Hii nimeipenda Sana. Ila sina nyongeza, ninayoyajua yote yamewekwa. Ndaga fijo naloli.

    ReplyDelete