Tuesday, June 11, 2013

HILI NI CHAGUA LA MAISHA NA MAFANIKIO:- WAREMBO WA WIKI NI HAWA!!!

Hili ni chagua la maisha na mafanikio ...nimependa vazi hili la asili..ni utamaduni na pia wanapendeza ebu angalia na useme lako....JUMANNE IWE NJEMA KWA WOTE....KAPULYA

8 comments:

  1. Utamaduni una nafasi yake na hii ni sehemu muhimu katika maisha na mafanikio.

    ReplyDelete
  2. wametokelezea kweli hawa!kiutamaduni wamemeremeta!

    ReplyDelete
  3. Kaka Ray!...Mara nyingi najiuliza hivi kwanini wengi tunakimbilia nguo za mitumba? kwa nini tusivae zetu? Nalisifu sana kabila la KIMASAI kwa kudumisha utaduni wao.

    Kaka Justin...ni kweli kiutamaduni wanameremeta na wanadumisha..

    ReplyDelete
  4. They are so cute, thanks Yasinta

    ReplyDelete
  5. Yasinta;
    Swali lako ni zuri na tuna wajibu kudumisha mavazi yetu kama tunavyofurahia vyakula vyetu.Mama mmoja hivi karibu alimwambia mke wangu kuwa mboga aipendayo na inayomfanya azidi kuonekana kijana ni mlenda.

    ReplyDelete
  6. Hawa kweli ndio warembo WA KWELI

    ReplyDelete
  7. Hawa kweli ndio warembo WA KWELI

    ReplyDelete
  8. emu-three! tena ni ule urembo wa asili. Pamoja daima

    ReplyDelete