Maisha bora kwako Dada Yasinta ni yapi? na mawazo finyu au hasi ni yapi? embu tuelezee kidogo tupate mwanga ulikuwa unaongelea nini. Au MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, AMBAYO TULIAHIDIWA NA HIVI MPAKA LEO DUH.
Kujituma ni moja ya juhudi binafsi za mtu unajuwa kama hutajituma ukweli hutofanikiwa katia maisha yaani ukiwa mvivu kwa kiswahili cha wazi wengi wanaishia kuwa duni na hasa ukiwa kule shamba hata hapa mjini kama hutajituma utaishia omba omba na kama ukiwa mtimilifu wa mawazo kuomba ni nomaaa ,Fanya kazi hata ya kujenga au selemala na hata ufundi cherehani ,Mtu mmoja alifanya kazi ya kwenda kupiga stori kwa fundi cherehani kwa miezi sita akitegemea kila siku ammpatie shilingi elfu kila jioni je angejifunza ufundi hiyo miezi sita asingekuwa fundi che jiah
Hakika ajaribuye hufanikiwa!!
ReplyDeleteKaka Ray! si uwongo..hasa kujitegemea/kuwa na moyo kuwa hakuna kiti kinachoshindikana.
ReplyDeleteMaisha bora kwako Dada Yasinta ni yapi? na mawazo finyu au hasi ni yapi? embu tuelezee kidogo tupate mwanga ulikuwa unaongelea nini. Au MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, AMBAYO TULIAHIDIWA NA HIVI MPAKA LEO DUH.
ReplyDeleteMaisha bora ni kutaka kujituma, kutaka kuanzia kwente msingi sio kufikiri tu kwamba siwezi n kutaka kuanzia juu. Hii kwangu ni maisha bora.
ReplyDeletenashukuru kwa maelezo na ni kweli tupu dada Yasinta.
ReplyDeleteKujituma ni moja ya juhudi binafsi za mtu unajuwa kama hutajituma ukweli hutofanikiwa katia maisha yaani ukiwa mvivu kwa kiswahili cha wazi wengi wanaishia kuwa duni na hasa ukiwa kule shamba hata hapa mjini kama hutajituma utaishia omba omba na kama ukiwa mtimilifu wa mawazo kuomba ni nomaaa ,Fanya kazi hata ya kujenga au selemala na hata ufundi cherehani ,Mtu mmoja alifanya kazi ya kwenda kupiga stori kwa fundi cherehani kwa miezi sita akitegemea kila siku ammpatie shilingi elfu kila jioni je angejifunza ufundi hiyo miezi sita asingekuwa fundi
ReplyDeleteche jiah