Friday, May 17, 2013

TUSISAHAU USEMI/SEMI WETU/ZETU..LEO TUANGALIA HUU UFUATAO......!!!

Dunia/Ulimwengu ni kama kitabu, na wao waisosafiri, wanasoma ukuraza mmoja tu.
NAWATAKIENI MWANZO MWEMA WA MWISHO WA JUMA.TUKUMBUKANE:-)

6 comments:

  1. Wikiendi njema kwako na wadau wote wa kibarazani.

    ReplyDelete
  2. Tukumbukane, ile neno limenigusa sana, kwani wengi wanapenda kukumbukwa tu, lakini `kane' inakuwa ngumu sana, ubarikiwe mpendwa kwa kuwa jirani mwema kwa kila mtu

    ReplyDelete
  3. emu-3 Nawe ubarikiwe sana kwa kuwa jirani mwema ...nimependa hii ya jirani mwema kwa kweli..Ahsante kwa kunikumbuka.

    ReplyDelete
  4. Da Yasinta...
    Kwa kuwa tupo kwenye karne ya teknologia, watu husafiri/huelimika kupitia intaneti/tv/radio, hivyo kusafiri ndio uelimike inapoteza mantiki. By Salumu

    ReplyDelete
  5. vimax thanks gan infonya vimax asli di tunggu info selanjutnya gan obat klg

    ReplyDelete