Tuesday, April 2, 2013

WANAMITINDO NA WAREMBO WA WIKI ..JE? UNAWAJUA HAWA WADADA??

Hawa ni kati warembo,wanamrindo waliokuweka katika  COVENTRY WOMEN  Kwa picha na mambo mengine zaidi bonyeza KACHIKI. Ahsanteni wote...

11 comments:

  1. Ndioo ni Mija na Rechal. Wanaishi UK. Wamependeza sana sana nimeipenda gauni la Mija ni nzuuuuuuuuuuuuri mno. Jamani naweza kulipata wapi? Jamani si muendelee na maonyesho ya mavazi mana tumeishwazoea sasa hapa! Kesho tena Mija eh!

    ReplyDelete
  2. Hawa ni wapendwa majirani zangu, hongereni sana, na Tupo pamoja

    ReplyDelete
  3. Hapo namfahamu Da'Mija tuuuuuuu, walipendeza sana kwakweli

    ReplyDelete
  4. Mliotangulia hata mimi nimependa mno na hongera sana..safari nyingine nitakuwepo nami:-D

    ReplyDelete
  5. Uchuane kweli Yasinta usitudanganye, tukuone utakavyotoka, sijui na Camilla au mwenyewe! Haya sisi tunawasubiria.

    ReplyDelete
  6. Sasa Yasinta inabidi tujipange tumuombee ruhusa Ester Ulaya kwa Shem Cathbet... au unasemaje?

    Shughuli hizi zapendeza mablogger mkiwa wengi..

    ReplyDelete
  7. Usiye na jina notachuana na wala sitawadanganya utaona.

    Kweli Mija tumwombee ruhusa. Shem Cathbert atamruhusu.

    ReplyDelete
  8. Asanteni sana Waungwana..Pamoja!!!!!!

    ReplyDelete
  9. jaman wanadada wamependeza sana ,ongeleni sana

    ReplyDelete