Thursday, April 25, 2013

TANZANIA INA MAKABILA MENGI NA KILA KABILA LINA MTINDO WAKE WA KUENEZA UTAMADUNI WAKE .HAPA NI NGOMA YA Traditional dance, Kisesa...


Haya jamani ilikuwa zamani kidogo na hizi ngoma zetu za asili..karibuni tucheze...mimi nafikiri ni WASUKUMA HAO ..JE WEWE MWENZANGU UNASEMAJE? MUWE NA WAKATI MMOJA

4 comments:

  1. Jina tu linajieleza kuwa Usukumani, aisee nimeipenda hii ngoma, Yasinta unajua kuzitafuta si mchezo,

    Hongera sana dada mkuu!

    ReplyDelete
  2. Dada mkuu msaidizi! Si wajua mpenda kwao....itamaduni wetu ...lazima udumishwe. Na sisi ndiyo wa kudumisha!!-

    ReplyDelete
  3. Ngoma nzuri sana hii. wasukuma nimoja ya makabila yenye ngoma za kikakamavu sana ,kwa sisi ambao ngoma ni kipaji ngoma pia ni taaluma kwa kuisomea unakuwa una juwa nini kinaendelea katika ulimwengu huu wa ngoma kama sanaa za maonesho.umenikumbusha chuoni Bagamoyo,kulikuwa na baadhi ya ngoma kama mwanafunzi siyo rahisi kufundishwa zilikuwa ni kwa ajili ya waalimu,ukifnikiwa kufundishwa basi wewe ni miongoni mwao hao waalimu.mfano-bugobogobo(wasukuma),mkwajungoma(wazaramo),lizombe(wangoni)japo sikuwa naipenda.nk. safi sana nazipenda sana ngomazetu za kienyeji. kaka s

    ReplyDelete
  4. Hakika na kweli ili uwe jasiri ni lazima usiache asili yako!

    ReplyDelete