Katika pitapita nimekutana na hii mimi na Tanzania ...nikakumbuka hii nikaona niweka hapa maisha na mafanikio... haya hebu wasikilize maelezo yao pia wanajamii wengine...
Sijui hapa itakuwa laani au ni ukosefu wa akili...inasikitisha sana kwa kweli....Jioni njema kwa wote mtakaopita hapa..Bibi kaongea na kingoni bwana :-)
Naona hii kama laana kama wahusika wana akili timamu.Hivyo, nasisitiza, kama wana akili timamu walipaswa kuuawa. Kama wana matatizo ya akili walipaswa kupelekwa Milembe wakafie huko.
ReplyDeleteImani mfu na hatari kama hizi ndizo chanzo cha mauaji ya kipumbavu ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Inashangaza serikali inakenulia hatari hii. Asante sana da Yacinta kuliona na kulileta hili.
Duniani kuna mambo....
ReplyDeleteNdo Dunia tuliyonayo ni balaa! I better live alone.
ReplyDeleteYaani songea kwetu jambo kama hili...nakubaliana na waliotangulua mwl mhango, kachiki na kaka goodluck.
ReplyDeleteNi laana kubwa sana ni bora kuishi bila kuoleqa/kuoa