Wednesday, April 10, 2013

KUNA ANAYEJUA HABARI ZA MWALIMU MATONDO MASANGU NZULILIMA????

Nimekuwa mara nyingi nikijiuliza mwalimu Matondo yupo wapi na halafu juzi tu nimeulöizwa na mkereketwa mwingiau niseme mwal. Mhango  kama najua habari na ndugu yetu huyu. Kwa kweli sijui kabisa na sasa naona kichwa kimetawala mno..Je? kuna anayejua habari/kitu chochote kuhusu ndugu yetu huyo? Maana ukiangalia hapa  inaoshesha ni muda sana aliweka kitu...

4 comments:

  1. Asante da Yacinta kwa kutundika tangazo hili. Maana huyu mpiganaji amepotea kweli kweli. Wenye habari zake hata yeye mwenyewe watusaidie kujua kuiikoni.

    ReplyDelete
  2. Atapatikana tu...tena muda si mrefu mimi nina uhakika..

    Rudi kaka Matondo, Rudi...

    ReplyDelete
  3. Da Mija unaongea utadhani umemficha wewe. Hivyo, utamfichua ukiamua. Basi na arudi. Rudi baba toka mafichoni popote ulipo tena haraka. Kajagi nkwingwa.

    ReplyDelete
  4. Hahahahahahahaaa... Kaka yangu Mhango, umenifurahisha!! Ukisikia kuongea kwa imani ndo huko... Atarudi tu...!!

    ReplyDelete