Wednesday, March 20, 2013

TANZANIA NCHI YANGU ...NAKUPENDA TANZANIA

Nitakutangaza nchi yangu tanzania,nakupenda Tanzania nchi yangu Tanzani na najivuna kuwa mTanzania.JUMATANO NJEMA KWA WOTE...

3 comments:

  1. J5 Njema iwe ya heri na fanaka, nchi yetu ijae neema, na iwe na amani, upendo na mshikamano...!

    ReplyDelete
  2. Nawe pia jtano njema kwako yatupasa kuipenda nchi yetu.

    ReplyDelete
  3. emu-three....ahsante! kweli kabisa inabidi tuwe tunaiombea nchi yetu tukufu iwe na amani, upendo,mshikamano na umoja.

    Shalom! ahsante... kuipenda nchi yetu ni wajibu pia kujivunia na kuitangaza.

    ReplyDelete