Hapa ni nje ya kanisa la Ruhuwiko mwaka jana mwishoni siku ya x-mas. Hakika nilijisikia RAHA sana angalia mwenyewe jinsi umati wa watu ulivyokuwa. Nimekaa hapa na naota/natamani pia pasaka hii ningekuwa hapa. IJUMAA KUU IWE NJEMA KWA WOTE NA MSISAHAU HAKUNA KULA NYAMA LEO...
Asante sana Yasinta kwa taswira ya nyumbani Ruhuwiko.
ReplyDeleteRay,,,siku hii ilikuwa ya furaha sana kama vile nilikuwa nikisema na Mungu ana kwa ana....
ReplyDelete