Wednesday, February 20, 2013

TANZANIA YETU NA ...KARIBU TANZANIA!!!!


Tanzania, mito, bahari, milima, mabonde, watu, ngoma mila,utamaduni ndio asili yake..TUPO PAMOJA

3 comments:

  1. Asante sana mama wa kibarazani kwa ujumbe mfupi lakini wenye angalizo kwa wadau.Hapa nakumbuka ule msemo:Pema usijapo pema ukipema si pema tena au pazuri ukishapazuru si pazuri tena.Hakika nakutakia simu njema iliyohanikizwa na tabasamu yako laini mithili ya..............!!

    ReplyDelete
  2. Kaka Ray! Ahsante kwa kupita hapa na kusema yako ya moyoni...Tanzania ni nchi yenye uzuri/vivutia vingi sana na vizuri...

    ReplyDelete
  3. Hakika nimepita na yangu ya moyoni na kwa wakati ufaao siku zijazo nitarejea tena.

    ReplyDelete