Sunday, February 24, 2013

MUWE NA JUMAPILI NJEMA SANA UKIPATA WASAA SIKILIZA WIMBO HUU UTAMU WA YESU NA DADA ROSE MUHANDO!!!


Ni Jumapili nyingine tena na pia ni ya mwisho katika mwezi huu wa pili/februari..bado kama jumapili nne tu na itaqkuwa pasaka...NAWATAKIENI WOTE KWARESMA NJEMA NA WALE WATAKAO/WANAOFUNGU KILA LA KHERI.

6 comments:

  1. Asante nawe pianakutakia jpili njema na yenye baraka tele, utamu wa yesu nimependa sana.

    ReplyDelete
  2. Shalom! nina imani jpili yako imeanza vema...ahsante kwa kunitakia mimi pia..ndiyo utamu wa yesu..eeehh

    ReplyDelete
  3. Yani dada imeanza na utamu kwelikweli bila shaka hata ww umemwemwereka ipasavo.

    ReplyDelete
  4. UTAMU WA YESU.? kaka s

    ReplyDelete