MAISHA NA MAFANIKIO YATIMIZA MIAKA MITANO /5 LEO :- 23/2/2008-23/2/2013!!!!
Kama mchezo nilizanza kublog Jumamosi tarehe 23/2/2008 na leo ni Jumamosi 23/2/2013 imefika mika mitano..(5) hapa ni siku ya kwanza nilivyoanza ... bonyeza hapa Hakika Maisha na Mafanikio imetoka mbali ..JUMAMOSI NJEMA KWA WOTE...KAPULYA
Hongera sana Yasinta. Ila nadhani kuna kosa kidogo nikihesabu ni miaka mitano na sio sita!kama ulivyoandika,kutoka Feb.2008 mpaka Feb.2013. Nakutakia kilala heri katika kublog.
Ahsante sana usiye na jina ....inategemea unaanza kuhesabu vipi ukianza siku na mwaka 2008 basi itakuwa sita na ukianza mwaka ufuatayo basi itakuwa mitano...Ahsante kwa yote
Tunashukuru umebadilisha, mana ukicheki mwaka jana mwezi huu uliandika ilitimiza miaka minne na hesabu ilikuwa vema, naona mwaka huu umeongeza zaidi, au ndio unazeeka? Umri umeenda dada na ni kawaida tu kukosea. Maisha na mafanikio mema.
Au madeni yamezidi mpaka mahesabu hayaendi vizuri? usikonde hongera sana kwa kublog .unatupa nafasi nasisi wasomaji kujifunza mengi ndani ya hii blog yako.haya nakutakia lizombe njema katika kusherehekea blog yako.ndimi wako mtiifu nilie chini ya miguu yako kwa unyenyekevu na sema asante!! kaka s.

shalom! ahsante sana na karibu sana sana hapa kibarazani:-)
Salum! Asante sana na karibu sana. Usiye na jina wa 4:24 umenichekesha kweli..Inawezekena ni uzee kweli:-) Kaka Sam!..tupo pamoja ...nawe umenichekesha na nikanza kuangalia chini ya miguu yangu ila sijakuona..LOL
Sm!..Nadhani kaka S atakuambia maana yake hata mie nasubiri..-:) AHSANTEN WOTE KWA KUWA NAMI KATIKA SIKU HII.
Kila kuendako hisani hakurudi nuksani bali shukrani.Blogu ni divisheni yenye mashiko katika tasnia ya habari na mawasiliano kwa ummma.Blogu ya maisha na mafanikio imeendelea kutimiza hayo yaliyotajwa hapo juu na matarajio yetu ni kuwa mgema asifiwa siyo lazima alitie tembo maji.Yasinta ni matarajio ya wadau wa kibaraza chako kuwa utaendelea kuwapatia kile kilicho bora kabisa bila ya kutafuna maneno wala kupepesa macho.
Hongera sana Yasinta. Ila nadhani kuna kosa kidogo nikihesabu ni miaka mitano na sio sita!kama ulivyoandika,kutoka Feb.2008 mpaka Feb.2013. Nakutakia kilala heri katika kublog.
ReplyDeleteAhsante sana usiye na jina ....inategemea unaanza kuhesabu vipi ukianza siku na mwaka 2008 basi itakuwa sita na ukianza mwaka ufuatayo basi itakuwa mitano...Ahsante kwa yote
ReplyDeleteHongera dada yasnta mbona inakuwa miaka mitano na sio sita
ReplyDeleteHaya jamani naona hesabu si somo langu ngoja nibadili ..Ahsanteni hii ndiyo raha ya kublog na raha ya kuwa wazi..NAPENDA
ReplyDeleteHaya dada hongera sana na mungu akutangulie uzidi kusonga mbele.
ReplyDeleteHongera sister Yasinta. Nakutakia mafanikio wewe pamoja na familia yako na blog yako izidi kung'ara na kumulikia njia wana jamii wote! By Salumu.
ReplyDeleteTunashukuru umebadilisha, mana ukicheki mwaka jana mwezi huu uliandika ilitimiza miaka minne na hesabu ilikuwa vema, naona mwaka huu umeongeza zaidi, au ndio unazeeka? Umri umeenda dada na ni kawaida tu kukosea. Maisha na mafanikio mema.
ReplyDeleteAu madeni yamezidi mpaka mahesabu hayaendi vizuri? usikonde hongera sana kwa kublog .unatupa nafasi nasisi wasomaji kujifunza mengi ndani ya hii blog yako.haya nakutakia lizombe njema katika kusherehekea blog yako.ndimi wako mtiifu nilie chini ya miguu yako kwa unyenyekevu na sema asante!! kaka s.

ReplyDeleteWw kaka s unafanya nn chini ya miguu ya dada ako usije ukamchungulia bure.
ReplyDeleteshalom! ahsante sana na karibu sana sana hapa kibarazani:-)
ReplyDeleteSalum! Asante sana na karibu sana.
Usiye na jina wa 4:24 umenichekesha kweli..Inawezekena ni uzee kweli:-)
Kaka Sam!..tupo pamoja ...nawe umenichekesha na nikanza kuangalia chini ya miguu yangu ila sijakuona..LOL
Sm!..Nadhani kaka S atakuambia maana yake hata mie nasubiri..-:)
AHSANTEN WOTE KWA KUWA NAMI KATIKA SIKU HII.
Asante dada nashukuru kwa kunikaribisha japo nilisahau kupiga hodi. Jamani hodi kibarazani naomba mnipokee
ReplyDeleteShalom! usiwe na shaka ushakapokelewa tena kwa mikono miwili.KARIBU SANA ..PAMOJA DAIMA
ReplyDeleteAhsante nimeshakaribi wangu.
ReplyDeleteKila kuendako hisani hakurudi nuksani bali shukrani.Blogu ni divisheni yenye mashiko katika tasnia ya habari na mawasiliano kwa ummma.Blogu ya maisha na mafanikio imeendelea kutimiza hayo yaliyotajwa hapo juu na matarajio yetu ni kuwa mgema asifiwa siyo lazima alitie tembo maji.Yasinta ni matarajio ya wadau wa kibaraza chako kuwa utaendelea kuwapatia kile kilicho bora kabisa bila ya kutafuna maneno wala kupepesa macho.
ReplyDelete