Monday, February 18, 2013

KULA MATUNDA NI MUHIMU KWA AFYA ZETU..TUSISAHAU

Matunda ya aina mbalimbali ni muhimu kwa afya zetu...tujaribu kuzingatia kula matunda ,,ikiwezekana kila baada ya mlo JUMATATU NJEMA KWA WOTE...

5 comments:

  1. Asante sana kutukumbusha, ukweli matunda ukiyazoesha mwilini hata magonjwa ya mara kwa mara hupati

    ReplyDelete
  2. Ni kinga nzuri kweli ya kujikinga na magonjwa mbalimbali...hata tunda moja kwa siku itakuwa vema sana

    ReplyDelete
  3. Hakika huo ndiyo ukweli wenyewe kuhusu matunda.

    ReplyDelete
  4. Jamani kweli matunda ni muhimu sana

    ReplyDelete