VALENTINES DAY.!!!!
Leo ni Valentineday/siku ya wapendanao/alla hjärtans dag. Sio kama siku zote watu
hawapendani HAPANA bali ni kuhamasisha watu wazidi kupendana . Kwangu mimi ina
maana kubwa kwani nimekuwa mwanaharakati bora wa Upendo kwa jamii haijalishi
nimefika kiwango gani . Nashukuru hata kama sijafika robo. Nakuomba nawe shiriki
kutangaza Upendo Duniani. Upendo ulimwenguni kote! na Heri ya siku ya wapendanao kwa wanablog wooooooooooooote! HAPPY VALENTINES DAY.!!!!
Wenzetu walikuwa na lengo jema, kuiweka siku hiyo ya `wapendanao' lkn wengi wameigeuza na kuitumia siku hiyo vibaya!
ReplyDeletekwa namna nyingine naweza kukubaliana nawe emu3..maana nimekuwa najiuliza hivi hii siku ina maana gani? maana naona kama watu wanaheshimu zaidi kupeana zawadi kuliko UPENDO ..je? kweli tunapendana????
ReplyDeleteWengine eti wameamua iwe ndiyo siku maalum ya kuvunja amri ya 6.
ReplyDeleteusiye na jina! hii sasa hatari kweli...
ReplyDeleteASANTE SANA...........KWANGU ILIKUWA NZURI MNO....INGAWA NINA HOMA ILA ILIENDA VEMA
ReplyDelete