Hapa pilau likiandaliwa na mpishi maalumu, kwa jina anaitwa mzee Edward Uhaula ni mkazi wa Matetereka..tulikuwa tukiishi nashi enzi hizo. Kwa hiyo siku hii ya mwaka mpya 2013 alikuja kutusalimia na hakukosa kukumbushia enzi yaaani kupika. Maana si unajua ukiwa na familia kubwa..halafu tena ni sikukuu ya mwaka mpya inapendeza kukutana pamoja kula na kucheza/kuongea..kubadilishana mawazo. ilikuwa safi sana kwa kweli
Hapa ni nyama ya ngómbe ikiandaliwa ..muda si mrefu itatengenezwa kwa viungo na baadaye kuliwa....
Makulaji hayo mweeeee mate tu hapa
ReplyDeleteKwa kweli mlijichana sana, ilikuwa safi sana kwenu na mpaka mpishi maalumu! Je hakukuwa na ugali kwa dagaa/ samaki na mboga mboga?
ReplyDeleteheheheeee..mlongo wangu punguza mate karibu bado vipi:-)
ReplyDeleteUsiye na jina!! kukosekane ugaöi kwa dagaa/samaki tena na halafu mbogamboga vyote vilikuwepo hata magharage:-)
mlifaidi mnooooooo....hheheheh mlimbania rafiki yangu maharage hapo, mbona sioni kama yametengwa....mate tu hapa
ReplyDeleteDada Ester... kweli tulifaidi ..rafikiyo alipata maharage yake ingawa hajaonekana hapo..usitokwe na mate sana:-)
ReplyDeleteAma kweli mtu kwao ni kwao tu!!
ReplyDelete