Sunday, January 20, 2013

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE MTAKAOPITA HAPA JUMAPILI NJEMA SANA!!!!! MICHEZO NI FURAHA!!!!

Licha ya kuwafundisha watoto elimu ya kitabuni, wanahitaji pia michezo ili waweze kujengeka kimwili, kiakili, kiroho na kuwa na maadili mema.. JUMAPILI NJEMA SANA....

7 comments:

  1. Nawe tunakutakia jumapili njema!

    ReplyDelete
  2. Enzi zangu shule ya msingi ,nilikuwa naitwa bendi masta wa shule,pia nilikuwa na puliza filimbi vizuri tu katika bendi ya shule.lakini nikikumbuka shule za msingi zamani walimu walikuwa wanatuonea sana,wakishirikiana na vilanja! ila ndo makuzi tuliyo pitia, haya da Yasinta na weye jumapili njema.kaka s

    ReplyDelete
  3. Iwe Njema kwako na Familia na wote!!!!

    ReplyDelete
  4. hao watoto wamenikumbusha enzi za kucheza ngoma na kuimba kwaya shuleni

    ReplyDelete
  5. hao watoto wamenikumbusha enzi za kucheza ngoma na kuimba kwaya shuleni

    ReplyDelete
  6. nimeipenda sana

    ReplyDelete