Thursday, November 15, 2012

UJUMBE WA LEO!!!

Kulazimisha/kubembeleza kitu/mtu siyo vizuri ..kama Mungu amepanga basi kitatokea/itatokea tu........
NAWATAKIENI ALHAMIS NJEMA WOTE:-)

7 comments:

  1. Kweli mpendwa, lkn na ww unayebembelezwa kama unacho kwanini umnyime mwenzako?

    ReplyDelete
  2. Inawezekana kikawa hakimfai ndo maana ananyimwa...@Kaka M-3

    ReplyDelete
  3. Au labda anapenda tu kubembelezwa...si unajua wengine huwa wanasema usitoe/usifanye kitu kwa haraka:-)

    ReplyDelete
  4. nikweli lakini ukibembelezwa inapendeza sana kuliko mtu kupola au kuchukua kwa nguvu

    ReplyDelete
  5. Ujumbe wenye akili ndani ya mwisho juma baada ya machovu ya kubebeshwa maboksi na viroba.

    ReplyDelete
  6. Hiyo imegusa wengi, kwa nini ubembeleze???? Du! ama kweli.

    ReplyDelete
  7. kila jambo lina wakati wake usilazimishe kuwa tajili leo wakati huna hata uwezo wa kununua baiskeli,tafuta taratibu na mungu atakupa kwa wakati wake na NAWATAKIENI ALHAMIS NJEMA.

    ReplyDelete