BAADA YA KAZI YA KAZI KWA JUMA NZIMA KWA WENGINE BASI KAA CHINI NA SIKILIZA UJUMBE HUU...NA UWE NA MWISHO WA JUMA MWEMA.....ZILIPENDWA!!!
NAWATAKIENI WOTE IJUMAA NJEMA KUNA WENGI WATAPUMZIKA MPAKA JUMATATU NA WALE WANAO ENDELEA NA KAZI JUMAMOSI NA JUMAPILI BASI NIWATAKIENI KAZI NJEMA MOJAWAPO NIKIWA MWENYEWE....WOTE MNAPENDWA...KAPULYA
MAISHA NDUGU KUNA MILIMA NA MABONDE, AU KUNA KUPANDA NA KUSHUKA. TAFUSILI YAKE AKUNA MTU ALIONNA JUU KUNA NN AU CHINI KUNA NN TUNABAKI NA HARI YA SITO FAHAMU, ILA TUMSAMINI MUNGU NDIE YEYE ANAE TUPA KILA KITU NAWAPENDA NYOTE
asante Mlongo umenikumbusha kutale sana huu ujumbe ni wanguvu sana. weekend njema kwako na familia yako. Natumaini Kabinti ketu ameludi salama:)
ReplyDeleteMAISHA NDUGU KUNA MILIMA NA MABONDE, AU KUNA KUPANDA NA KUSHUKA. TAFUSILI YAKE AKUNA MTU ALIONNA JUU KUNA NN AU CHINI KUNA NN TUNABAKI NA HARI YA SITO FAHAMU, ILA TUMSAMINI MUNGU NDIE YEYE ANAE TUPA KILA KITU NAWAPENDA NYOTE
ReplyDeleteNampangala mlongo asante kwa kupita hapa..Binti amerudi salama ahsante kwa kuuliza.
ReplyDeleteSteve! karibu sana ..na ahsante
Wimbo huu unamafunzo sana...Ahsante Kadala....
ReplyDelete