nachukua nafasi hii na kuwashukuru wote mlipita hapa ...hapi katika picha hii inaonekana enzi hiozo mkanda ulikuwa ndio fasheni..si mmeona wote wana mkanda hata kama sio aina moja,,,Wazo la dada mkuu msaidizi si mbaya je naweza kupata picha zenu wakati mlipokuwa vijana au hata za harusi?
Mimi hapo ninachoona ni `usichana' jingine `portable' jingineee,`ulimbwende!
ReplyDeleteHahahaaa! emu-three ni kweli tulikuwa wasichana..ulimbwende duh! labda kiduchu...Ahsante:-)
ReplyDeleteHakika siku hazingandi lakini zinayeyuka!!
ReplyDeleteBonge lafumbo Yasinta, ila nimekuona hapo..
ReplyDeleteMambo ya "then and Now" hebu waombe wadau wakuletee picha zao za zamani na za sasa hivi.. tukumbushie enzi...
Ubarikiwe sana dada Mkuu..
nachukua nafasi hii na kuwashukuru wote mlipita hapa ...hapi katika picha hii inaonekana enzi hiozo mkanda ulikuwa ndio fasheni..si mmeona wote wana mkanda hata kama sio aina moja,,,Wazo la dada mkuu msaidizi si mbaya je naweza kupata picha zenu wakati mlipokuwa vijana au hata za harusi?
ReplyDeleteDada mkuu wewe kiboko.. picha za harusi..???!!!... bonge la wazo mama Kamila..
ReplyDeletesasa picha za harusi si wengine tumeowa ndoa za mkeka inakuwaje hapo? lakini wazo zuri.kaka s.
ReplyDeleteDada mkuu msaidizi ndiyo za harusi:-) Ahsante kwa kuona bonge la wazo.
ReplyDeleteKaka Sam ww uwe wa kwanza kunitumia:-)
Wa kwanza ni dada Mija na ya pili wewe da Yasinta.kweli huo muda wa ujana !
ReplyDelete